HAKIKISHA USIKU WA LEO UNASHINDA MKWANJA KUPITIA EARLY PAYOUT

Moja ya siku ambazo unaweza kutengeneza mkwanja wa kutosha ni leo kupitia michezo kadhaa ambayo itapigwa katika ligi mbalimbali ulaya, Huku pia chaguo la Early payout ikihakikisha unapata unapiga kitita cha kutosha. Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekujia na chaguo linaloitwa Early payout ambapo unaweza kushinda mkeka pale tu timu zoako ulizochagua zitaongoza kwa…

Read More

Kivumbi Marekani, wagombea wakabana koo uchaguzi ukikaribia

Uchaguzi wa Rais wa Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024, Zikiwa zimesalia wiki chache tu, kinyang’anyiro kati ya wagombea wawili wakuu, Kamala Harris wa Chama cha Democratic na Donald Trump wa Chama cha Republican, kimechukua sura mpya, huku tafiti zikionyesha kuwa umaarufu wa Harris umepungua kidogo, jambo linalozua maswali juu ya nani ataibuka mshindi. Kwa…

Read More

Wastaafu wahimizwa kujikita kwenye kilimo

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mkurugenzi wa kampuni ya Namburi Agricultural Company, Dk. Mary Mgonja, amewataka wastaafu nchini kutumia muda wao kuingia kwenye kilimo ili kuendelea kufanya kazi na kujiimarisha kiafya na kiuchumi pia. Akizungumza na Mtanzania Digital leo, Agosti 2, 2024, katika maonesho ya Kitaifa ya Kilimo Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Dk. Mary alisema…

Read More

RC SAWALA: TPDC HONGERENI, MNAFANYA KAZI NZURI SANA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Kenani Sawala amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania kwa utekelezaji Madhubuti wa miradi ya Kimkakati ya mafuta na gesi asilia katika maeneo mbalimbali ya nchi ikiwemo mikoa ya Lindi na Mtwara. Pongezi hizo amezitoa mara baada ya kutembelea banda la TPDC katika maonesho ya Nanenane kanda…

Read More

Damaro aitaka michuano ya kimataifa

KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, hasa Kombe la Shirikisho Afrika, endapo watamaliza nafasi ya pili au tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Kabla ya mechi yao dhidi ya Azam FC (iliyochezwa jana), Singida Black Stars ilikuwa nafasi ya nne…

Read More

Zayd ampa tabasamu Kocha Azam

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taouss amefurahia kurudi kwa mastaa wake waliokuwa majeruhi huku akimtaja Yahya Zayd ni mchezaji ambaye anaweza kuziba mapengo mengi. Nyota waliokuwa nje kikosini hapo na wamerejea baada ya kupona majeraha ni pamoja na Zayd, Yanick Bangala, Abdallah Heri ‘Sebo’ na Sospeter Bajana ambao wote wamerudi na wanaendelea na mazoezi…

Read More