Mkurugenzi wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) atembelea banda la Serengeti

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Private Sector Foundation, Raphael Maganga (katikati) alipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika uzalishaji bia kupitia mazao wanayonunua kutoka kwa wakulima nchini. Wa kwanza kulia ni afisa kilimo biashara wa SBL, Aloyce Kimaro na wa kwanza kulia ni…

Read More

Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako,’ Yakabidhi BMW X1 Kwa ‘Mmachinga’ Kariakoo.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha rasmi kampeni yake ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ kwa kukabidhi zawadi ya gari ya pili aina BMW X1 kwa Bw Galus Peter Casto maruufu kama “Kweka” ambae ni mfanyabiashara mdogo ‘Machinga’ kwenye Soko la Kariakoo jijini Dar es salaama alieibuka mshindi wa zawadi hiyo kuu. Kampeni hiyo…

Read More

VITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA

………………………… 📌Taasisi 3000 zaunganishiwa umeme na fedha za Covid 19 Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B  (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya kuwapata wakandarasi wa mradi huo imeshatangazwa na inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Hayo yameelezwa na…

Read More

Kiingereza pasua kichwa kidato cha pili

Dar es Salaam. Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kujifunzia kwa wanafunzi wa sekondari imeendelea kuwa mwiba, baada ya robo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa majaribio wa kidato cha pili mwaka 2024 kupata alama F. Jambo hilo linatajwa kuwa moja ya sababu ya wanafunzi wengi kupata F katika masomo mengine kutokana na kushindwa kuelewa lugha inayotumika…

Read More

Vilio vyatawala mwili wa Mchungaji Kantate ukiagwa Kisamo

Moshi. Vilio na simanzi vimetawala katika usharika wa Kisamo, Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wakati wa kuaga mwili wa Mchungaji Kantate Munisi (42) ambaye atazikwa leo, usharikani hapo. Wakati mwili wa mchungaji huyo ukiagwa kanisani hapo leo Agosti 09, 2024, mamia ya waombolezaji waliofika kushiriki ibada ya Maziko, walishindwa…

Read More

Dabi ya Aziz KI na Chama

UKISIKIA mwisho wa ubishi ndio huu wakati vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga zitavaana katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara. Ndio, kesho kuna Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam huku kila mmoja ikiwa na kumbukumbu ya mechi iliyopita iliyopigwa Novemba 5…

Read More

‘Ni wajibu wa viongozi wa dini kupigania haki’

Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema viongozi wa dini wana wajibu mkubwa wa kupigania haki, amani ya kweli na utulivu, mambo ambayo wananchi wote wanayahitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amesema sauti ya viongozi wa…

Read More