
TANROADS RUVUMA YAPOKEA SHILINGI BILIONI 2.5 KUFANYA MATENGENEZO YA BARABARA ZILIZOHARIBIKA NA MVUA ZA MASIKA
Na Mwandishi wetu,Tunduru WAKALA wa barabara (TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,umepokea Sh.bilioni 2.5 kati ya Sh.bilioni 6 ilizoomba ili kurejesha miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za masika katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Hayo yamesemwa jana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Saleh Juma,baada ya kukagua kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya daraja la Mto…