
Aliyehukumiwa kunyongwa, sasa afungwa miaka 15
Arusha. Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa aliyohukumiwa Chipukizi Chondi, mkazi wa Kigoma kwa kosa la mauaji na sasa atatumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kuua bila kukusudia. Mahakama hiyo imesema imezingatia ushahidi wa mazingira kuhusiana na mauaji katika shauri hilo, hivyo imemhukumu kifungo hicho kilichoanza kuhesabiwa tangu alipotiwa…