
Jiji la Mbeya laagiza meneja, mkandarasi mradi wa Sh21 bilioni kuondolewa
Mbeya. Halmashauri ya Jiji la Mbeya limeiagiza Kampuni ya Cico kuwaondoa maneja mradi, Penfeng Wang na Mkandarasi Mshauri, Jofrey Kanjanja kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao na kusababisha miradi kusuasua. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamis Mei 23, 2024 ofisini kwake, Meya wa Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa amesema wamelazimika kuchukua hatua hiyo baada ya kufanya…