
Madaktari bingwa 15 kutua Mbeya, kuchunguza saratani kwa wanawake
Mbeya. Madaktari bingwa 15 wanatarajiwa kuwafanyia uchunguzi wa saratani wanawake zaidi ya 1,000 jijini hapa wakati wa Tamasha la ‘Usiku wa Mama’ litakalofanyika Mei 14, 2024 huku mgeni rasmi akiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. Mbali na saratani, pia huduma ya kupima Virusi vya Ukimwi (VVU), itatolewa siku hiyo ambayo itakuwa kilele cha maadhimisho ya…