MATUNDA YA UWEKEZAJI WA BANDARI YA TANGA YAANZA KULIPA MELI YA 12 ILIYOBEBA SHEHENA YA MAGARI YATUA

Meneja wa Bandari ya Tanga Masoud Mrisha akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani baada ya kuipokea meli iliyotoka nchini China moja kwa moja kuleta shehena ya magari kupitia kampuni ya Meli ya SeaFront Shipping Services Limited (SSS).Afisa Uhusiano wa TPA Enock Bwigane akizungumza wakati wa mapokezi ya meli hiyo Na Oscar Assenga,TANGA MATUNDA…

Read More

EWURA YAWAFIKIA WADAU WA SEKTA NDOGO YA MAFUTA JIJINI MWANZA

Na.Mwandishi Wetu-MWANZA WANANCHI wa Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia Nishati Safi ya kupikia ya Gesi na Umeme ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kutokana na matumizi ya Nishati Chafu. Hayo yameelezwa na Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa, George Mhina,wakati wa mafunzo ya siku moja kwa wadau wa Sekta ndogo ya mafuta yaliyofanyika jijini Mwanza yaliyoandaliwa…

Read More

African Sports warejea Championship | Mwanaspoti

Tanga. TIMU za African Sports ‘Wanakimanumanu’ na Kiluvya zimefanikiwa kupanda Ligi ya Championship baada ya kutinga fainali ya First League (zamani Ligi Daraja la Pili), ambapo kesho, Jumamosi zitakutana kwenye mchezo wa fainali utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ili kutafuta bingwa wa ligi hiyo msimu huu. Kiluvya imefika hatua hiyo kwa mikwaju ya penalti 5-3…

Read More

Wenye mabasi walia SGR kuwaathiri, Samia amtaja Abood

Dar es Salaam. Ingawa kuimarika kwa huduma za treni ya umeme nchini Tanzania ni furaha kwa abiria, kwa upande wa wamiliki wa mabasi ni maumivu, wakilalamika juu ya kudorora kwa biashara. Malalamiko ya wasafirishaji hao yanakuja katika kipindi ambacho, safari za treni ya umeme zinazidi kuimarika na leo Alhamisi, Agosti 1, 2024, Rais Samia Suluhu…

Read More