Kituo cha taarifa mwarobaini kero za wananchi Mbarali

Mbarali. Wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameeleza matumaini yao baada ya Serikali kufungua Kituo cha Taarifa (Call centre), wakisema kitawasaidia kupunguza gharama za kusafiri umbali mrefu kuwasilisha kero na kupata ufumbuzi. Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti leo Jumamosi, Machi 7, 2026, katika Kata ya Igurusi, wamesema ujio wa mfumo huo utasaidia kuokoa muda…

Read More

Unavyoweza kumjua hasidi wa ndoa yako

Katika maisha ya ndoa, hakuna jambo zuri kama kuwa na mwenza unayependana naye kwa dhati, lakini pia hakuna changamoto kubwa kama kushughulika na watu wasiokutakia mema uhusiano huo.  Watu hawa, mara nyingi huingia katika maisha ya wanandoa kama marafiki, ndugu, au hata majirani, lakini lengo lao si jema. Ni muhimu sana kutambua na kujua dalili…

Read More

Huku kukiwa na Hatari za Usalama katika Mashariki ya Kati, Kazi ya Kibinadamu Inaendelea – Masuala ya Ulimwenguni

Tarehe 3 Machi 2026, katika shule ya umma katika Mlima Lebanon, timu ya UNICEF iko tayari kutoa vifaa vya dharura ikiwa ni pamoja na magodoro, blanketi, maji, usafi, mtoto na vifaa vya heshima UNICEF na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa ya kibinadamu yameanza kuhamasisha misaada na mahitaji ya dharura kwa familia nchini Lebanon na…

Read More

GCLA IMEWAJENGEA UWEZO VIJANA 8,086 KATIKA UENDESHAJI SHUGHULI ZINAZOHUSU KEMIKALI

Na Mwandishi wetu- Dodoma Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imefanikiwa kuwajengea uwezo vijana 8,086 katika uendeshaji wa shughuli zinazohusisha kemikali, na kuwasaidia kulinda afya zao na mazingira, Mafunzo hayo yamewezesha vijana kupata fursa za biashara katika usafirishaji wa kemikali na kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya uzalishaji wa bidhaa za kemikali. Dkt…

Read More

WANAWAKE WAHAMASISHWA KUJITHAMINI NA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Mwanamke wa Thamani, Hajira Bitebo, amewahimiza wanawake kujishughulisha na shughuli za maendeleo na kufanya kazi kwa bidii badala ya kubweteka kukaa nyumbani bila kujituma. Bitebo amesema mwanamke anapofanya kazi na kujitegemea kiuchumi huweza kusaidia familia na kuchangia maendeleo ya jamii kwa ujumla. Kwa upande wake, Katibu wa chama hicho,…

Read More

NAIBU WAZIRI NISHATI AKUTANA NA MKURUGENZI WA GO PLANT TANZANI

……….. Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amekutana na Mkurugenzi wa Go Plant Tanzania Bw. Emmanuel Likida kwa lengo la kujadili namna ya kushirikiana katika maandalizi ya Mjadala (Debate) wa Clean Cooking Solutions utakaowahusisha wanafunzi wa shule za Sekondari katika Halmashauri za Mkoa wa Dodoma.  Katika kikao hicho, pande zote mbili zimejadili umuhimu…

Read More

CRDB yakamilisha uboreshaji wa mfumo, Dubai ukikaribia

Dar es Salaam. Benki ya CRDB Plc imekamilisha mchakato wa kuhamia katika mfumo mpya wa kibenki, hatua inayofungua njia ya kupanu huduma zake kikanda, ikiwamo kufungua tawi Dubai mwishoni mwa mwaka huu. Benki hiyo ya Kitanzania, ambayo pia ina matawi tanzu nchini Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imehama kutoka Mfumo wa Fusion…

Read More

Raundi 10 ZPL kuchezwa Gombani, Bodi yafafanua

KATIKA kuhakikisha Pemba inafunguka kimichezo, Bodi ya Ligi Zanzibar (ZBL) ipo katika mazungumzo ya kuomba kuutumia uwanja mkubwa wa Gombani katika raundi 10 zilizosalia za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Hatua hiyo inalenga kuzisaidia timu, hasa kutoka Pemba, kurushwa mubashara kama ilivyo za Unguja. Katika misimu miwili mfululizo, mechi zinazochezwa kwenye Uwanja wa Mao Zedong uliopo…

Read More