
Dk Ndugulile kupeperusha bendera ya Tanzania WHO
Dar es Salaam. Tanzania inakusudia kutangaza jina la Dk Faustine Ndugulile kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Gazeti la Mwananchi limebaini. Kazi ya kunadi jina la Dk Ndugulile kuwa mteule wa Tanzania katika nafasi hiyo, itaanza rasmi leo katika hafla ya kumtangaza itakayofanywa na uongozi wa Wizara ya…