
Mwenda ataja mambo matatu kuvuka lengo ukusanyaji mapato Zanzibar
Unguja. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda ametaja mambo matatu makuu yatakayotekelezwa ili kufanikisha lengo la kuongeza ukusanyaji wa mapato Zanzibar. Mwenda amesema kuwa Mamlaka hiyo itaweka mkazo katika kujenga ushirikiano mzuri na wafanyabiashara kwa kurahisisha mazingira ya kufanya biashara, kuimarisha huduma kwa wateja, pamoja na kuboresha mazingira ya kazi kwa…