
Simba yamvutia waya Ibenge, bosi wa Nabi nae yumo
JINA la kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge (62) linatajwa kupewa kipaumbele cha kwanza na mabosi wa Simba kumrithi Abdelhak Benchikha aliyeondoka mwishoni mwa mwezi uliopita lakini wakati wakiendelea kujifikiria zaidi, bosi wa zamani wa Kocha Nasreddine Nabi naye amewasilisha maombi mezani akiomba kupewa kibarua cha kuinoa timu hiyo. Uongozi wa Simba ulikuwa na hamu…