
WAHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA WASISITIZWA UZALENDO
Na Elizaberth Msagula,Lindi VIJANA waliohitmimu mafunzo ya awali ya kijeshi ya jeshi la kujenga Taifa (JKT) wamehimizwa uzalendo,uaminifu na uadilifu katika kusimamia na kuijenga nchi yao. Yamehimizwa hayo na Brigedia Jenerali Charles Peter Feluzi wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa mujibu wa sheria oparesheni ya miaka 60 ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT)…