Jezi mpya ya Arsenal msimu wa 2024/25 hii hapa

Arsenal wametoa jezi yao mpya ya nyumbani kwa msimu wa 2024/25 huku maandalizi ya kampeni mpya yakiendelea, hata kabla ya mwisho wa msimu huu. Jezi ya Adidas, ambayo inauzwa kwenye tovuti ya klabu hiyo, ni ya kitamaduni yenye rangi nyekundu na nyeupe, yenye mistari ya baharini begani. Inaangazia beji rahisi ya kanuni iliyopambwa kwenye kifua….

Read More

Mabadiliko ya Tabianchi nchini Azabajani yanawaweka Wanawake katika Hatari ya Kuongezeka kwa Unyanyasaji wa Kijinsia – Masuala ya Ulimwenguni

Leyla Suleymanova Maoni by Maithreyi Kamalanathan (paris) Ijumaa, Novemba 22, 2024 Inter Press Service PARIS, Nov 22 (IPS) – Mabadiliko ya hali ya hewa yanazidisha tofauti zilizopo za kijinsia na unyanyasaji wa kijinsia. Katika COP29 nchini Azerbaijan, serikali zimehimizwa kuweka kipaumbele sera za hali ya hewa zinazozingatia jinsia ambazo zinashughulikia mahitaji maalum ya wanawake na…

Read More

Posho yaibua sintofahamu uchaguzi Bavicha

Dar es Salaam. Mkutano wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) ulisimama kwa dakika kadhaa leo, Jumatatu Januari 13, 2025, baada ya wajumbe kuhoji hatma ya posho zao za kujikimu, tofauti na ahadi walizokuwa wamepewa awali. Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya viongozi wa kitaifa…

Read More

Makonda asisitiza amani uchaguzi Serikali za mitaa

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani hapa watumie nafasi zao kuhamasisha waumini kujitokeza katika uchaguzi wa  Serikali za mitaa na kuhakikisha amani inatawala. Amesema ili uchaguzi uende vizuri, uhuru na haki vinapaswa kuzingatiwa lakini lengo kuu likiwa ni kupata viongozi imara ambao ni nguzo muhimu za utatuzi wa…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Usia wangu kwa Kocha Liogope

RAFIKI yangu Kassim Liogope amepewa jukumu zito la kukaimu nafasi ya ukocha mkuu wa Azam FC muda mfupi baada ya timu hiyo kumtimua kocha Youssouph Dabo. Kabla ya kubebeshwa mzigo huo, Liogope alikuwa akifundisha kikosi cha vijana cha Azam na alinasa kibarua hicho baada ya Dodoma Jiji aliyoitumikia msimu uliopita akiwa kocha msaidizi kuamua kutompa…

Read More

Uamuzi mgumu ulivyobadili upepo Yanga

YANGA ndio mabingwa tena. Imebeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo, ikiendeleza ubabe wake kwenye safari iliyokuwa na mabonde na milima. Yanga imelichukua taji hilo ikiwa na sura fulani tofauti na misimu miwili iliyopita, ikitoka kupitia mabadiliko mbalimbali kwa maana ya namna ya ilivyoanza msimu huu wa 2023/24 na hata muundo wa timu yao….

Read More