
UDUMAVU KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO BADO NI TATIZO – DUGANGE
OR-TAMISEMI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Festo Dugange amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano bado ni kikubwa ambapo kwa mkoa wa Kigoma ni 27.1%, Katavi 32.2%, Njombe50.4%, Songwe 31.9% na Rukwa 49.8%. Amesema hayo katika hafla ya kusaini hati…