
Kijana ajirusha kwenye kivuko cha watembea kwa miguu, kisa wivu wa mapenzi
Mwanza. Mkazi wa Kijiji cha Kemakolele Kata ya Nyarero Wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara, Mwikwabe Range (20) amejaribu kujiua kwa kujirusha chini kutoka juu ya kivuko cha watembea kwa miguu, kilichopo Mabatini jijini Mwanza, kwa kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo lilitokea Mei 3, 2024 majira ya saa 11 jioni katika kivuko kinachosaidia waenda…