
Tozo saba zapunguzwa mnada wa korosho ukikaribia kuanza
Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred ametangaza kuanza kwa minada ya korosho ghafi nchini ifikapo Oktoba 11, 2024. Alfred amebainisha hayo leo Septemba 13, 2024 mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Seleman Serera mkoani Mtwara wakati wa kikao cha kujadili mfumo wa ununuazi wa korosho. Amesema…