
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 7,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 7,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 7,2024 Featured • Magazeti About the author
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 7, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Mjumbe kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Singida Ndg Ahmed Misanga ambae pia ni mratibu wa shughuli za wazazi ikungi ametoa Vifaa Vya ujenzi wa nyumba ya Mtumishi wa Jumuiya hiyoMisanga Ametoa Vifaa hivyo alipo tembelea na kujionea maendelo ya ujenzi huo. “Nimetoa vifaa hivii ikiwa ni muendelezo wa Michango yangu katika…
Na Jane Edward, Arusha Sheikh Hussein Said Junje, Sheikh wa Wilaya ya Arusha Mjini amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akimsifu kwa Uwajibikaji wake katika kusimamia haki za wananchi wa Arusha. Sheikh Junje ametoa kauli hiyo Ofisini…
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo (Mei 6, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa Kitaifa alichokiitisha kupokea taarifa ya hatua zilizochukuliwa kwenye maeneo yaliyopata athari. “Rais ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe katika…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa kuyasimamia na kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. Aidha, amesisitiza kwamba ni lazima viongozi na watendaji wa Serikali wawe na uelewa wa kutosha ili waweze kuyasimamia na kuyatekeleza mapendekezo hayo. Waziri Mkuu amebainisha hayo leo Mei 6, 2024 wakati akifungua warsha ya…
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, kuhakikisha wanakamilisha kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam ndani ya saa 72. Waziri Bashungwa ameeleza hayo, leo tarehe…
Kibaha. Wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa nchini kote leo Mei 6, 2024, wameanza mafunzo ya siku tatu yenye lengo la kuwaongezea mbinu za kuboresha utekelezaji wa majukumu yao mahala pa kazi. Mada zitakazotolewa wakati wa mafunzo hayo yanayofanyika Kibaha mkoani Pwani ni pamoja na masuala ya rushwa na ubadhirifu katika mamlaka za Serikali…
Dar es Salaam. Tarehe 6 Mei 2024: Benki ya CRDB imeandika historia nyingine kwa kupokea cheti cha kimataifa cha masuala ya mazingira baada ya jengo lake la Makao Makuu kukidhi vigezo vya kimataifa vya majengo yenye kuzingatia uhifadhi wa mazingira. Cheti hicho cha kwanza kutolewa kwa majengo ya hapa nchini, kinatolewa na taasisi ya…
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuongeza matumizi ya nishati safi katika shughuli mbalimbali, wadau mazingira wamekuja na njia tofauti za kuhakikisha watu wanahama katika utegemezi wa nishati walizozizoea. Miongoni mwa hatua za hivi karibuni ni kuwa na matumizi ya gesi asilia (CNG) na umeme katika vyombo vya moto ambavyo awali vilikuwa vikitumia nishati ya…