
ARFA yapata mabosi wapya | Mwanaspoti
Chama cha soka mkoa wa Arusha (ARFA) imefanya uchaguzi wa nafasi mbali mbali na kupata viongozi watakaoiongoza kwa miaka minne. Uchaguzi huo umefanyika leo mjini Namanga wilayani Longido ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya ARFA, wakili Hilda Mwanga na wasimamizi kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Karume Benjamin ambaye ni Makamu Mwenyekiti…