
CHMT ZATAKIWA KUSIMAMIA UKAMILISHWAJI WA MAJENGO YA KIPAUMBELE
OR-TAMISEMI Mkurugenzi wa Idara ya Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais – TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amezielekeza timu za usimamizi wa shughuli za Afya ngazi ya Halmashauri (CHMT) kusimamia na kushauri ukamilishwaji wa majengo ya kipaumbele badala ya kujenga majengo mengi bila kukamilika. Dkt. Mfaume ametoa maelekezo hayo baada ya kukagua shughuli za…