
Wasira awaonya wavuvi Ziwa Victoria
Rorya. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wavuvi wa Ziwa Victoria kuchukua tahadhari kwa kutofika kwenye mipaka ya nchi jirani ili kuepusha mitafaruku na kuporwa zana zao za uvuvi. Wasira ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Februari 7, 2025 wilayani Rorya baada ya kupata taarifa juu ya uwepo wa matukio…