
Fei Toto, Aziz KI vita ni kali
Bao moja alilolifunga nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar limemfanya kufikisha mabao 15 ya Ligi Kuu Bara akiwa sambamba na nyota wa Yanga, Stephane Aziz Ki waliopo kwenye vita ya ufungaji bora. Feisal alifunga wakati Azam ikiitandika Mtibwa Sugar mabao 2-0, jana na kuendeleza kushikilia…