
Rais Samia Ameweka Historia ya Maendeleo – Global Publishers
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya maendeleo kwa watanzania ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati. Ametaja miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere, lakini daraja la kigongo Busisi huku akieleza mafanikio hayo…