Ujenzi holela watajwa chanzo nyumba kuanguka

Dar/Mbeya. Madhara ya mvua yameendelea kuleta adha kwa makazi ya wananchi, huku baadhi ya wakiiomba Serikali kuwahamishia katika maeneo salama. Wakati hayo yakiendelea, wataalamu wa maji na uhandisi wa ujenzi wameeleza sababu za madhara ya maji ya ardhini na njia sahihi za ujenzi unaoweza kuhimili kishindo cha wingi wa maji. Licha ya mvua kukatika tangu…

Read More

RAIS SAMIA AMEELEKEZA RASILIMALI ZINAZOCHIMBWA NCHINI ZIWANUFAISHE WATANZANIA – DKT. BITEKO

📌 Asisitiza Ushuru wa Huduma Kutatua Changamoto za Wananchi 📌 Uchimbaji wa Gesi Asili Kuchochea Uchumi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Watanzania kunufaika na rasilimali zinazochimbwa katika maeneo yao kwa kutoa fursa mbalimbali ikiwemo ajira. Hayo yameelezwa…

Read More

Mwalimu, Minja kuwavaa Samia, Mpina urais Oktoba

Dar es Salaam. Mbio za kwenda Ikulu ya Tanzania ndani ya vyama vya siasa zimezidi kushika kasi baada ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nacho kuwapata viongozi wawili watakapeperusha bendera yake. Salum Mwalimu, katibu mkuu wa chama hicho, ndiye amepewa jukumu la kupeperusha bendera  hiyo huku Devotha Minja akipendekezwa kuwa mgombea mwenza wake. Kwa…

Read More

Kuanzishwa kwa Jukwaa la Biashara na Huduma Kariakoo kufungua fursa zaidi

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo (JWK), Martine Mbwana, ameeleza kuwa kuanzishwa kwa Jukwaa la Biashara na Huduma litakuwa chachu muhimu kwa wafanyabiashara katika soko la Kariakoo. Mbwana alisema jukwaa hilo linalenga kuwaunganisha wafanyabiashara kwa njia mbalimbali, ikiwemo upatikanaji wa masoko, kuanzisha viwanda, na kuchochea uwekezaji wa ndani. Akizungumza Oktoba…

Read More