Watoto wawanyooshea kidole wazazi, matukio ya ukatili dhidi yao
Arusha. Wazazi na walezi wametajwa kuwa chanzo cha kushamiri kwa matukio ya ukatili kwa watoto kutokana na kutelekeza majukumu yao ya malezi na kutumia muda mwingi kusaka fedha na mali. Pia, viongozi wa dini wamenyooshewa vidole kupwaya katika mafundisho yao ya kidini yenye uwezo wa kutengeneza hofu ya utekelezaji wa matukio hayo ya ukatili, badala…