
Huduma za kibingwa zatua hospitali 184 za halmashauri
Iringa. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango wa makambi ya madaktari bingwa waliosambaa nchi nzima kutoa za matibabu kwenye hospitali zote 184 za halmashauri. Madaktari bingwa watano wa upasuaji; afya ya uzazi, watoto na watoto wachanga, magonjwa ya ndani pamoja na wale wa ganzi na usingizi watakuwa wakitoa huduma za kibingwa kwenye hospitali moja…