Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema  Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za saratani na vifaa tiba  ili kutanua wigo wa huduma za saratani nchini na hivyo kuwezesha upatikanaji wa  huduma hizo kwa urahisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia ametoa rai kwa uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha…

Read More

Mkopo usio na riba kunufaisha wanawake, vijana

Unguja. Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi, Serikali imetenga Sh39.5 bilioni zitakazotolewa kwa mkopo usiokuwa na riba, hususani kwa wanawake na vijana Zanzibar. Hayo yameelezwa leo Jumanne Agosti 13, 2024 wakati wa kufungua mafunzo ya kutengeneza umeme jua katika kituo cha kuwafunza wanawake kutengeneza vifaa vya umeme wa jua na ujasiriamali (Barefoot College) Kinyasini Mkoa wa Kaskazini,…

Read More

Kauli Wanazopenda Wanaume Kuzisikia Kwa Wenza Wao, Zipo Hapa – Global Publishers

HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano. Ukimfanyia yale anayoyapenda, sio kwamba atafurahi tu bali unamtengenezea kumbukumbu nzuri.  Unatengeneza sifa njema kwa mwenzi wako. Anakuona umuhimu wako, anatambua utu wako na kukupa thamani ya kuwa mwenzi wake wa maisha. Ule ubinadamu au mambo…

Read More

Watumishi watatu waadhibiwa Longido, mmoja afukuzwa kazi

Arusha. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, limetoa adhabu kwa watumishi wake watatu wa halmashauri hiyo, akiwemo mmoja kufukuzwa kazi. Mtumishi mwingine ameshushwa cheo na mwingine ameadhibiwa kupunguziwa mshahara wake kwa asilimia 15 kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo kutokana na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh300 milioni….

Read More

Andambwile aamua kikubwa, atangulia TFF

KIUNGO wa Singida Black Stars, Aziz Andambwile anayeitumika Yanga kwa mkopo ameshtukia jambo na fasta akaamua kufanya kitu ili kutaka kujiweka pazuri kabla mambo hayajamchachia zaidi. Andambwile mwenye mkataba wa miaka mitatu na Singida iliyopo nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 38 kutokana na mechi 21, bado hajaonyesha makeke…

Read More

Gwajima ruksa kuomba kugombea tena ubunge

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kimetoa kauli kwamba Mbunge wa Kawe, Mchungaji Josephat Gwajima anaruhusiwa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania tena nafasi hiyo kupitia chama hicho. Chama hicho tayari kimeshatangaza tarehe rasmi ya kuanza uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi ya ubunge na udiwani ndani…

Read More

Waziri Ummy: Malalamiko pekee sasa ni ukubwa gharama Muhimbili

Dar es Salaam. Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema gharama kubwa za matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ndio malalamiko pekee anayopokea kutoka kwa wananchi. Amesema kwa kiasi kikubwa hospitali hiyo imekuwa na mabadiliko makubwa na hapati malalamiko ya wagonjwa kuzungushwa kupata huduma bali gharama za matibabu…

Read More