
Waziri Mhagama awataka wazazi, walezi kusimamia maadili kwa watoto
Na Maandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (Mb) Peramiho amewataka wazazi kutenga muda malezi kwa watoto ili kuwatizama na Kurekebisha mienendo yao. Kauli hiyo ameitoa mapema Mei 5, 2024 aliposhiriki kama Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 69 ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama…