
Kocha JKT Tanzania aanika usajili mpya
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amefichua juu ya mpango wa kuboresha kikosi katika dirisha kubwa la usajili baada ya kushindwa kufikia malengo msimu huu, huku akitaja maeneo mawili atakayoshughulika nayo ili maafande hao warudi na moto katika Ligi Kuu Bara. Maafande hao wa JKT wanaokamata nafasi ya sita katika msimamo wakiwa na pointi…