
Halmashauri ya mji wa Njombe yafikia 91% kutoa chanjo saratani mlango wa kizazi kwa wasichana
Halmashauri ya mji wa Njombe mefanikiwa kutoa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri kati ya 9 – 14 kwa 91% na kuvuka lengo la angalau 80% kitaifa huku wakitarajia kufikia 100% ifikapo Mwezi Disember 2024 mwaka huu ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo. Simon Ngassa ni mtaalamu wa afya…