
NIONAVYO: Usajili makini wa klabu ni silaha ya mafanikio
MOJA ya kumbukumbu zitakazokaa muda mrefu kuhusu msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara 2023-2024 ni mchezo wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Tabora United. Katika mchezo huo, Tabora United ikiwa chini ya zuio la Fifa kutumia baadhi ya wachezaji ilijikuta ikianza mchezo na wachezaji wanane tu na hivyo mchezo kutofika mwisho baada ya wachezaji…