
Guede apeleka shangwe Yanga ikihitaji pointi 8 kutwaa ubingwa
SHANGWE la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa Yanga msimu huu linaendelea kukaribia baada ya ushindi ilioupata wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa katika mchezo mkali na wa kusisimua uliopigwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. Bao pekee na la ushindi kwa Yanga limefungwa na nyota mshambuliaji wa timu hiyo, Joseph Guede katika dakika…