Polisi Dar yaahidi kumnasa anayedaiwa kumuua mkewe

Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamsaka kijana anayetuhumiwa kufanya mauaji ya Paulina Mathias (40), Mkazi wa Kibonde Maji B, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo linadaiwa kutokea Machi 10, 2025 eneo la Kibonde Maji alikokuwa amepanga mwanamke huyo. Inadaiwa mwanamke huyo aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye…

Read More

Kauli ya mahakama shauri la mjane Alice kuhusu nyumba

Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, Dar es Salaam, imetoa taarifa kuhusu shauri la madai ya ardhi lililofunguliwa na mjane, Alice Haule, kuhusu mgogoro wa nyumba. Septemba 23, 2025 kupitia vyombo vya habari Alice alizungumzia kuhusu uwepo wa shauri hilo kwenye mahakama hiyo, baada ya nyumba yake kuvamiwa na watu waliotoa vitu nje…

Read More

KITUO CHA AFYA URU KUSINI CHAWA FARAJA KWA WANANCHI

NA WILLIUM PAUL, MOSHI. WANANCHI wa kata ya Uru Kusini katika Jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro wamenufaika na umaliziaji wa kituo cha Afya Uru kusini na kuondokana na adha ya muda mrefu ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za kitabibu. Kituo hicho hadi kukamilika serikali imetoa zaidi ya milioni 500 ambapo kwa sasa kunatoa…

Read More

Mambo 10 ACT Wazalendo ikitimiza miaka 11

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimetaja maeneo 10 inayojivunia nayo kinaposherekea miaka 11 tangu kuanzishwa kwake huku kikisisitiza Serikali kutopuuza dai la  Watanzania la uhitaji wa haki. Mbali na dai hilo, baadhi ya maeneo ambayo ACT Wazalendo imetaja kama mafanikio yake kwa miaka 11 ni kuongoza katika siasa za hoja, kujenga jukwaa mbadala…

Read More

‘Utapeli ni tishio la ukuaji wa huduma za kifedha kimtandao’

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa kadri huduma za kifedha kwa njia ya kidijitali zinavyokuwa, ndiyo utapeli na ulaghai unavyozidi kuongezeka katika eneo hilo ambalo limebadilisha mambo mengi kwa namna chanya na kurahisisha maisha ma biashara za watu. Wataalamu wa sekta ya fedha wanasema endapo utapeli na ulaghai mtandaoni usipodhibitiwa unaweza kupunguza imani ya wananchi kwenye…

Read More