Wafanyabiashara waliokwama Somanga wasimulia adha kukatika kwa barabara

Lindi/Mtwara.Wafanyabiashara wa Kusini wanaotumia barabara kuu inayokwenda mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wamezungumzia adha wanayoipata kutokana na kukatika kwa barabara hiyo muhimu kwa uchumi wa watu wa kusini na Taifa kwa ujumla. Maoni ya wafanyabiashara hao yanafuata baada ya Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Taifa, Hamis Livembe kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara kutokana na miundombinu ya…

Read More

Kocha Prisons hali tete, aiwaza Coastal

Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally ameanza kuonja joto la jiwe kufuatia matokeo yasiyoridhisha anayoendelea kupata na kumuweka katika wakati mgumu. Ally ambaye alitua kikosini humo mwishoni mwa mwezi Oktoba akichukua nafasi ya mtangulizi wake, Fred Fe-lix ‘Minziro’ aliyesitishiwa mkataba kutokana na matokeo mabovu. Kocha huyo wa zamani wa KMC, alikuwa na mwanzo mzuri…

Read More

KINANA ATAKA WATANZANIA WASIKUBALI KUGAWANYWA KWA HOJA DHAIFU

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa CCM na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Na Mwandishi Wetu, Dodoma   MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewaomba Watanzania kutokubali hoja za kejeli, chuki na kufarakanisha watu ambazo zimekuwa zikitolewa…

Read More

Director Khalfan Elmando amezikwa makaburi ya kisutu

Mtayarishaji wa Video za Muziki Bongo Director Khalfani Maarufu kama ‘Khalmandro’ amefariki Dunia Leo May 5, 2024 Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa Matibabu, taarifa za awali za kuugua kwake zilidai Khalifani alipata matatizo ya Minor Stroke wakati akitoka kazini Kwamujibu wa baadhi ya watatarishaji wenzake wakiongozwa na Hascan walikuwa tayari wameunda group la…

Read More

Zitto na Othman wapania kuongoza dola 2025

Kigoma. Chama cha ACT Wazalendo kimeweka wazi mpango wa kuhakikisha katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kinampa nafasi Zitto Kabwe kuwa Rais wa Tanzania na Masoud Othman kushika wadhifa huo visiwani Zanzibar. Kabwe ambaye ni kiongozi mstaafu wa chama hicho, mara kadhaa amesikika akitangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini alilowahi kuliongoza…

Read More

Pacha wa miezi mitano wafariki kwa kuungua moto Morogoro

Morogoro. Watoto wawili pacha wa miezi mitano, wamefariki dunia kwa kuungua moto wakiwa ndani ya nyumba. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto ya Uokoaji mkoani  Morogoro Shaban Marugujo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Marugujo amesema tukio hilo lilitokea Mei 4, 2024 saa 3 usiku ambapo watoto wawili pacha waliokuwa na umri wa miezi mitano walifariki kwa…

Read More

Aziz Ki ampiga bao Guede Tuzo ya Ligi Kuu

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024, huku kocha wake, Miguel Gamondi naye akibeba. Aziz Ki ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Kipre Junior wa Azam na Joseph Guede ambaye anacheza naye katika kikosi cha Yanga ambacho kinaongoza ligi. Taarifa iliyotolewa na…

Read More