JKT YAACHANA NA KUNI SASA NI MATUMIZI YA GESI

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua jiko la gesi katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Na Alex Sonna-KASULU VIJIJINI JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeanza kutekeleza agizo la Serikali la matumizi ya nishati…

Read More

ELIMU NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAWAFIKIA WANAWAKE MKOANI MBEYA KUPITIA KONGAMANO LA WANAWAKE NA FURSA ZA KIUCHUMI.

Mbeya. Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia na kuchagua nishati safi kama njia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Akizungumza Agosti 15 katika kongamano la wanawake na wajasiriamali kuhusu fursa za kiuchumi lililofanyika mkoani Mbeya, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Nishati Safi…

Read More

RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO AFISA WA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.  IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024.

Read More

MBUNGE MTATURU ASISITIZA MAMBO MANNE KWA SERIKALI

  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amechangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 huku akiainisha maeneo manne ya msisitizo kwa serikali ili kuweza kuongeza mapato kupitia sekta ya biashara. Akichangia Juni 24,2024, Bungeni Jijini Dodoma Mtaturu ametaja eneo la…

Read More

Akutwa ameuawa, mwili kutelekezwa relini Kigoma

Kigoma. Mtu mmoja mwanamume amekutwa ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kutelekezwa katika Mtaa wa Butunga relini, Kata ya Kibirizi. Agosti 31, 2025, mwili wa mtu huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45 mpaka 50 ulikutwa katika mtaa huo na watu waliokuwa wakipita kuelekea…

Read More

Ya kuzingatia mauzo ya mifugo, nyama yakizidi kupaa

Dar es Salaam. Wakati mauzo ya mifugo katika masoko yaliyosajiliwa yakiongezeka kwa mwaka 2024, wadau wametaka wafugaji wapewe mbinu bora za ufugaji na mbegu ili kuongeza thamani ya mifugo yao. Ripoti ya uchumi wa Kanda ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaonyesha kuwapo kwa ongezeko kubwa la mifugo inayouzwa kuliko fedha zinazopatikana robo ya mwaka…

Read More