
Njombe kuhusu lishe hawana masihara,Ujumbe wazidi kusambazwa
Katika kupambana na udumavu mkoani Njombe, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe imeendelea kufikisha ujumbe kwa jamii kwa namna mbalimbali na sasa ni zamu ya Bajaji kufikisha ujumbe huo kupitia Mabango. Bwana Chrispin Kalinga kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe amesema lengo la kuweka mabango hayo ni kufikisha ujumbe kwa jamii na…