
SERIKALI YAWAONDOA HOFU WAZAZI KUHUSU MTAALA MPYA WA ELIMU MSINGI 2027…
NA WILLIUM PAUL, ROMBO. SERIKALI imejipanga kikamilifu kutekeleza mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wanaomaliza darasa la saba (mtaala wa zamani) na wale wa darasa la sita (mtaala mpya) mwaka 2027 wanaendelea na masomo bila vikwazo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda jana, wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya mfumo wa…