
Kipa Msudani awadatisha mabosi Azam FC
KIWANGO alichokionyesha kipa wa kimataifa wa Azam FC, Msudan Mohamed Mustafa, kimewashawishi viongozi wa klabu hiyo kuanza mchakato wa kukaa naye mezani kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba mpya. Azam FC ilimsajili kipa huyo kwa mkataba wa miezi sita kutoka klabu ya El Merreikh, mkataba ambao unamalizika mwisho wa msimu huu. Alipoulizwa mtendaji mkuu wa…