
Mil.600 zatengwa kupeleka umeme Kijiji cha Ijinga – Magu
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahakikishia wananchi wa Kijiji cha Ijinga kilichopo kwenye kisiwani katika kata ya Kahangara Wilayani Magu mkoani Mwanza kuwa watafikishiwa umeme hivi karibuni baada ya Serikali kutenga kiasi cha Sh milioni 600 zitakazotumika kupeleka umeme wa jua (solar). Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Amesema…