Hidaya apoteza nguvu baada ya kuingia Mafia

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kupitia mwendelezo wa taarifa zake kuhusu kimbunga Hidaya imesema kimekosa nguvu baada ya kuingia nchi kavu katika Kisiwa cha Mafia. Taarifa hiyo imetolewa jana Jumamosi Mei 4, 2024 saa 5.59 usiku. “Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa wa kilichokuwa kimbunga Hidaya zilizokuwa zikitolewa na TMA…

Read More

Mandonga: Chakula cha buku hadi tv kila chumba

MEI 12, mwaka huu bondia wa ngumi za kulipwa nchini na mpiga debe wa zamani wa Kituo cha Mabasi Msamvu mjini Morogoro, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ atakuwa akimaliza adhabu yake. Mandonga atamaliza adhabu hiyo iliyotokana na kusimamishwa kupanda ulingoni na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), kufuatia kupokea kipigo cha TKO ya raundi sita…

Read More

Kamati ya Bunge yaridhishwa na maelekezo wanayotoa kwa DART

*DART yaahidi kufanyia kazi maelekezo mengine kiutendaji Na Chalila Kibuda, Michuzi TV Kamati ya Bunge ya Kudumu ya TAMISEMI imesema kuwa imeridhishwa maelekezo wanayotoa kwa Wakala wa Mabasi yaendayo (Haraka) yanafanyiwa kazi. Hayo ameyasema Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Justin Nyamoga wakati Kamati hiyo ilipotembelea Miradi ya Mabasi yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam amesema…

Read More

RC MAKONDA ATANGAZA WIKI YA HAKI ARUSHA

Makonda akizungumza na waandishi wa habari Leo. Mei 3/4/2024 amewaalika wananchi kuleta kero mbalimbali ikiwemo kudhulumiwa au kunyanyaswa kijinsia Na. Vero Ignatus,Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ametangaza wiki ya Haki mkoani hapa huku akiwataka wananchi kama yupo aliyedhulumiwa au kufanyiwa ukatili Kufika ofisi ni kwake siku ya Jumatano Akizungumza na wanahabari…

Read More