Kuishi kwa ukeketaji – maswala ya ulimwengu

Zeinaba Mahr Aouad, mwanamke wa miaka 24 kutoka Djibouti, anakumbuka siku ambayo, kama mtoto wa miaka kumi, mgeni asiyetarajiwa alifika nyumbani kwake: “Alikuwa na sindano, blade na bandeji.” Mwanamke huyo alikuwepo kutekeleza kikatili, isiyo ya lazima na – tangu 1995 katika Pembe la Afrika nchi – operesheni haramu inayojulikana kama ukeketaji wa kike, ambayo inajumuisha…

Read More

CUF kutafakari wazo la ACT muungano wa vyama

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hatima ya mpango wa kuunda muungano mseto wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kukikabili Chama cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu 2025, itajulikana baada ya chama hicho kupima faida na hasara. Chama hicho kimedai ingawa hadi sasa bado hakijafuatwa rasmi, suala hilo wamelisikia likizungumzwa na linahitaji…

Read More

Trump ajitangazia ushindi, kura zaendelea kuhesabiwa

Florida. Mgombea urais wa Republican, Donald Trump amejitangazia ushindi katika uchaguzi wa Marekani alipokuwa akiwahutubia wafuasi wake waliojawa furaha huko Florida wakati kura katika majimbo muhimu zikiwa bado zinahesabiwa. Hadi sasa, Trump amepata kura za majimbo 267 huku mpinzani wake, Kamala Harris akipata kura 224. Mshindi wa uchaguzi huo anatakiwa kupata kura 270, hivyo, Trump…

Read More

BREAKING; CHAMA ASAINI RASMI KUWA MWANANCHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kupitia Kurasa za Mitandao ya Kijamii, Klabu ya Young Africans imetangaza rasmi kuwa imemsajili Nyota wa Soka wa Kimataifa kutoka nchini Zambia, Clatous Chama (Mwamba wa Lusaka rasmi awa Mwananchi) ambaye Misimu kadhaa ya hivi karibuni alikuwa akitamba ndani ya Kikosi cha Simba SC (Waasimu wao wanaounda Derby ya Kariakoo kutokea Msimbazi).Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry#KonceptTvUpdates

Read More