KMC,Kagera sUgar hakuna mbabe | Mwanaspoti

Mchezo kati ya KMC dhidi ya Kagera Sugar umemalizika Uwanja wa Azam Complex timu hizo zikiwa hazijafungana, Licha ya mashambulizi makali ya timu zote bado safu za washambuliaji kwa timu zote hazikuweza kutikisa nyavu na kuifanya mechi hiyo kumalizika kwa suluhu hiyo. Matokeo hayo yameongeza alama moja kwa kila timu lakini hayakubadilisha nafasi ya timu…

Read More

RC Mtaka amjia juu afisa kilimo kwa kushindwa kusimamia mradi

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewaagiza wataalamu wa serikali kushirikiana na taasisi binafsi zinazotekeleza miradi mkoani humo kutekeleza miradi yao kwa ufanisi na kupata matokeo chanya kutokana na fedha nyingi wanazotumia kwenye utekelezaji wa miradi hiyo. Mtaka ametoa maagizo hayo wilayani Wanging’ombe baada ya kushindwa kuridhishwa na kazi anayoifanya afisa kilimo wa kata…

Read More

Serikali kukarabati uwanja wa Jamhuri, Morogoro

Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema kuelekea mashindano ya Afcon 2027, ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda serikali itaufanyia ukarabati Uwanja wa Jamhuri ili uweze kutumika.kwa mazoezi kuelekea mashindano hayo. Akizungumza na Mwanaspoti Waziri Ndumbaro amesema serikali imeamua kuja na mbinu mbadala ya kuwa…

Read More

ASKOFU MABOYA AHIMIZA HAKI KATIKA KUWATUMIKIA WATANZANIA.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Mtume Dkt. Dunstan Maboya akiambatana na Viongozi wengine wa kanisa hilo wameongoza maombi Maalum ya kumuombea Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda na kuwatakia mafanikio mema kwenye kuwatumikia wananchi. Askofu Dkt….

Read More

Serikali kuukarabati uwanja wa Jamhuri, Morogoro

Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema kuelekea mashindano ya Afcon 2027, ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda serikali itaufanyia ukarabati Uwanja wa Jamhuri ili uweze kutumika.kwa mazoezi kuelekea mashindano hayo. Akizungumza na Mwanaspoti Waziri Ndumbaro amesema serikali imeamua kuja na mbinu mbadala ya kuwa…

Read More

MSAADA WA AMREF NA CDC YAWANUFAISHA WANAFUNZI 3,000 HANANG’

Na Mwandishi wetu, Hanang’ SHIRIKA la Amref Tanzania na shirika la Marekani la kudhibiti na kuzuia magonjwa (CDC) limewanufaisha wanafunzi 3,000 wa shule za msingi na sekondari wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, baada ya kuwajengea miundombinu ya kudhibiti magonjwa ya milipuko. Mashirika hayo yamewanufaisha wanafunzi hao kwa kuzindua maeneo ya kunawa mikono na kukarabati vyoo….

Read More

WABUNGE WASHIRIKI SEMINA YA UELEWA KUHUSU MRADI WA SGR

WIZARA ya Uchukuzi kupitia Shirka la Reli Tanzania – TRC limefanya semina elekezi kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa – SGR unaoendelea, semina imefanyika katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, Mei 2023. Lengo la Semina ni kuwajengea uelewa wa pamoja wabunge…

Read More

Kasi ya ACT Wazalendo na tathmini ya miaka 10 ijayo

Kigoma. Safari ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Chama cha ACT Wazalendo inaandikwa leo usiku, huku viongozi wake wakitabiri taswira ya chama hicho katika miaka kumi ijayo. Kwa mtazamo wa viongozi hao, katika miaka 10 ijayo, ACT Wazalendo ndicho kitakachoshika hatamu ya uongozi serikalini, kielelezo cha ushirikishwaji wa vijana katika siasa na taswira halisi ya…

Read More