Geay aula Berlin Marathon 2025

MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay ni miongoni mwa mastaa 13 ambao wamepewa mwaliko wa kushiriki mbio za Berlin Marathon 2025, Ujerumani. Mbio hizo zitafanyika Septemba 21 na Geay anayeshikilia rekodi ya taifa ya mbio ndefu kwa muda wa saa 2:03:00 aliyoiweka katika Valencia Marathon miaka mitatu iliyopita atashiriki kwa mara ya kwanza….

Read More

Nabi avujisha faili la Wasauz, Fadlu ashindwe mwenyewe

KUNA sababu tatu ambazo kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi amezitaja ambazo zinaipa Simba nafasi kubwa ya kuitoa Stellenbosch ya Afrika Kusini. Nabi ambaye kwa sasa anaifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, amesema anawafahamu vizuri Stellenbosch kwani hivi karibuni amecheza nao mara tatu na kuwapiga nje ndani. Kocha huyo raia wa Tunisia, katika mechi…

Read More

Musoma kuchochea uchumi kwa mbio za marathon

Musoma. Wilaya ya Musoma inatarajia kuandaa mbio za Marathon zitakazochochea na kusisimua uchumi wa Manispaa ya Musoma pamoja na watu wake. Akizungumza leo Jumamosi Septemba 28, 2024, kwenye uzinduzi wa klabu ya michezo yakiwemo mazoezi ya kikimbia (jogging) mjini Musoma Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka amesema mbio hizo zinatarajiwa kufanyika kabla mwaka huu haujaisha….

Read More

Wasikie wanaume wanavyotoa hoja ovyo za kuchepuka

Ukitaka kucheka uliza sababu za kwanini wanaume tuna ‘cheat’. Tunazijadili sana tukiwa kwenye vijiwe vyetu vya kupiga stori. Mfano, mwenzetu mmoja alisema yeye anachepuka kwa ajili ya kuongeza upendo kwa mke wake, kwani kila anapotoka kufanya usaliti kwa ndoa yake huwa anajisikia mwenye dhambi sana na hujikuta anajilazimisha kuwa na upendo zaidi ya kawaida kwa…

Read More

Dybala, Lukaku namba zilivyopishana | Mwanaspoti

ROMA, ITALIA: Supastaa Paulo Dybala, nyota wa kimataifa wa Argentina na Roma ya Italia anaujua mpira. Ndiye straika tegemeo katika kikosi cha kwanza cha Wataliano hao, ingawa linapokuja suala la timu ya taifa anasugua sana benchi. Kwa Roma, mastaa kibao wanakaa benchi wakisikilizia mwamba amalize kazi yake uwanjani ndipo waingie au anapokuwa majeruhi. Na hata…

Read More

Matokeo kidato cha nne ni vicheko na huzuni

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mithani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka 2024, yakiwa na sura ya furaha na vilio. Ni furaha kwa watahiniwa 477,262  kati ya 516,695 waliopata daraja la kwanza hadi la nne sawa na asilimia 92, 37. Ufaulu huu ni sawa na ongezeko la asilimia…

Read More

Vijana wapewa mbinu kupambana na ukosefu wa ajira

Bunda. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,  Ismail Ussi amewataka vijana kujitokeza na kutumia fursa ya mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na halmashauri ili kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana nchini. Ussi ametoa wito huo leo Ijumaa Agosti 15, 2025 mjini Bunda baada ya kukagua na kuzindua mradi wa Umoja wa…

Read More