
Padri asimulia safari ya jimbo jipya Bagamoyo, alivyotokwa machozi
Bagamoyo. “Nilitokwa machozi ya furaha, sikutarajia jambo hili, maana tulisubiri kwa muda mrefu, lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, tumshukuru yeye kwa hilo.” Haya ni maneno ya Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Dk Thaddeus Siya akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Machi 9, 2025, ikiwa ni Jumapili ya kwanza tangu Papa…