
Biteko aagiza minada yote kutumia nishati safi
Dodoma. Ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa mkakati wake, Serikali imeagiza minada yote nchini kutumia nishari safi ya kupikia, ikianza na majiko ya kisasa ya kuchomea nyama kwenye mnada wa Msalato mkoani Dodoma, yanayotumia mkaa mbadala. Akizungumza leo Agosti 21, 2025 kwenye hafla ya uhamasishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wadau wanaochoma nyama…