TRA Yakamata Madumu 23,755 Ya Mafuta Ya Kupikia Ya Magendo Dar – Video
Last updated Dec 17, 2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo imekamata Shehena kubwa ya Mafuta ya kupikia ya Magendo, jumla ya Madumu 23,755, yaliyokuwa yakiingizwa nchini kinyume na taratibu kupitia Bandari ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam. Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Yusuph Juma Mwenda, akizungumza mara baada ya zoezi…