
Mambo tisa yatakayoamua uchaguzi mkuu Uingereza
London. Raia wa Uingereza wakipiga kura leo kuchagua wabunge, uchaguzi huo unatazamwa kwa sera za vyama vya siasa na jinsi zitakavyoathiri mataifa mengine, hasa ya Afrika, zikiwemo sera za uhamiaji, elimu na mpango wa Rwanda kuwapokea wahamiaji. Masuala mengine yanayopangaliwa katika uchaguzi huo ni pamoja na ukuaji wa uchumi, afya, uhalifu, ulinzi na usalama, makazi…