
Wataalamu 52 kutoka Taasisi za Fedha wapigwa msasa namna bora ya kutoa mikopo ya Kilimo
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania(TADB) imefunga mafunzo kwa wataalam 52 kutoka Benki washirika kuhusu namna bora kutoa mikopo katika sekta ya kilimo na kuangalia viatarishi jambo ambalo litasaidia taasisi za fedha nchini kufanyakazi kwa ufanisi na kuleta tija kwa Taifa. Makamu Mkuu wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania…