Timu Ligi ya Mabingwa yamtaka kocha wa Mbao

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Zimbabwe, Simba Bhora FC wako kwenye hatua za mwisho za kumalizana na aliyekuwa Kocha wa Mbao FC na Alliance za Mwanza, Godfrey Chapa ili awe kocha msaidizi. Simba Bhora FC ni wawakilishi wa Zimbabwe kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya kutwaa ubingwa msimu uliopita ikiwa ni msimu…

Read More

Katika Kongamano la Wanawake Duniani, naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anahimiza kuchukuliwa hatua kuhusu usawa wa kijinsia – Masuala ya Ulimwenguni

Uliofanyika tarehe 22-23 Agosti chini ya mada Kuelekea mustakabali wa KijaniJukwaa lililenga katika kuendeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), hasa zile zinazosisitiza usawa wa kijinsia. Akizungumza siku ya Alhamisi, Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed alisisitiza udharura wa kuharakisha maendeleo kwenye SDGs, kwani tarehe ya mwisho ni chini ya miaka sita. Alisisitiza kwamba uongozi wa…

Read More

VIDEO: Alichokisema Dk Slaa baada ya kuachiwa huru

Mwanasiasa Mkongwe Tanzania, Dk Wilibrod Slaa (76) amesema anapigania kuondoka sheria zote mbovu, na ni kati ya watu wanaosimama ‘No reforms no elections’ na msimamo wake unajulikana. Dk Slaa amezungumza hayo leo Alhamisi Februari 27, 2025 baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kuieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hana nia ya kuendelea na…

Read More

WAHASIBU WAKUU SHAURINI NCHI ZENU KUWEKEZA TANZANIA.

Na Ashura Mohamed -Arusha  Afisa Mkuu wa Biashara  kutoka Benki ya CRDB bw.Boma  Rabala amesema Mkutano wa Pili wa mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu wakuu barani  Afrika (AAAG)  unaoendelea Jijini Arusha  ni muhimu  katika Sekta ya fedha ikiwa matumizi mazuri ya teknojia yatazingatiwa. Ameyasema kayo wakati akizungumza na waandishi wa Habari katika  Viwanja wa AICC…

Read More

Asas yatekeleza ahadi ya kuelimisha wafugaji wa Kizimkazi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Asas imeonyesha dhamira yake ya kuendeleza sekta ya ufugaji na kuboresha maisha ya jamii kwa kutekeleza ahadi iliyotolewa wakati wa Sherehe za Kizimkazi Festival kwa kuandaa ziara ya mafunzo kwa wafugaji kutoka Kizimkazi hadi mashamba yake ya kisasa yaliyopo mkoani Iringa. Ahadi hiyo, iliyotolewa Agosti 8, mwaka huu,…

Read More