
TASAC yatoa tahadhari ya Kimbunga ,HIDAYA,
Na Mwandishi Wetu Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limepokea taarifa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kuhusu uwepo wa kimbunga “HIDAYA” katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TASAC ilisema Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani…