
Camara ajadiliwa Simba, mabosi watoa msimamo
KIKAO cha mabosi wa Simba kimefikishiwa makosa aliyofanya kipa Moussa Camara yalivyoigharimu timu msimu uliomalizika, kisha ukafanyika uamuzi juu ya nyota huyo raia wa Guinea. Camara ambaye alitua Simba mwanzoni mwa 2024-2025 akitokea Horoya ya Guinea ndiye amekuwa kipa namba moja kikosini baada ya Ayoub Lakred kuwa na majeraha ya muda mrefu na kuondolewa kwenye…